Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi (Ebog, epub, Swahili) af Sarah Skov

Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

(Ebog, epub, Swahili)
Forfatter: Sarah Skov

Forlag: Lust

PRIS
12,- kr
Levering: Straks (Leveres på e-mail)

Når du handler på WilliamDam.dk, betaler du den pris du ser.

  • Ingen gebyrer
  • Ingen abonnementer
  • Ingen bindingsperioder

Beskrivelse

"Ninahisi matiti yangu yakijibana na yakiuma, kana kwamba yako karibu kupasuka. Nimeegemea kwenye kaunta, lakini kile ambacho mtu mwingine hakioni ni mikono ya mwanaume yakifinya matiti yangu, na kufanya ngozi kutokea kwenye vidole vyake. Nikisimama tuli na niwe makini, ninaweza kuhisi msisimko wa nywele zake ndogo nyeusi nyuma ya mikono ya mwanaume huyu kwenye kipingili cha mkono wangu. Nilijitahidi kutopumua na nikavuta pumzi kwa haraka na nikainua kichwa changu ili kumwangalia. Tukakutana macho."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari, Kula Nami, Kumbukumbu Zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake.

Læsernes anmeldelser (0)

Alle detaljer

Forlag Lust
Forfatter Sarah Skov
Type Ebog
Format epub
Sprog Swahili
Udgivelsesdato 11-09-2019
Udgiver LUST
Oversætter - Lust
Sideantal 15 Sider
Filtype epub
Filversion 2.0
Filformat Reflowable
Filstørrelse 61 KB
Kopibeskyttelse DigitalVandmaerkning
Datamining Ikke tilladt
ISBN-13 / EAN-13 9788726216615