for at udvide
kategorilisten.
Søgning på underkategorier- og emner:
Til regnvejrsdage, til dage på stranden, til ferien, til studiet, til spisepausen, til togturen, til at fordrive ventetiden eller til en helt almindelig onsdag aften.
Vi har bøger til dig, som læser de helt smalle titler, til dig som kun læser bestsellerne, til dig der lige er ved at have knækket læsekoden, til dig der vil underholdes, til dig der vil klogere, til dig der vil oplyses, til dig der vil mindes, til krimielskeren, til dig der allerede er en vaskeægte læsehest, og til dig som (måske) bliver det.
Om du så foretrækker at læse bogen på engelsk, på dansk, hører den som lydbog eller læse den som e-bog - ja, så klarer vi også den.
Mulighederne er mange, titlerne er endnu flere - rigtig god fornøjelse!
"...kila nilipotazama nilijihisi mnyonge na mwenye kuchanganyikiwa. Kwa kutii amri fulani ya msukomo wa damu, nilivua rinda na kulitupa sakafuni.... Læs mere
"Nilikuwa nimeweza kutulia kidogo, baada ya dakika tano au zaidi, alitokea mlangoni mwa chumba changu cha kulala. Akiwa hajafunga nywele zake. Ametoa... Læs mere
Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na... Læs mere
"Anatabasamu anapofikiria kuhusu wakati walipoendesha gari kwenda msituni. Aliegesha gari kwenye barabara ndogo yenye vumbi kando ya msitu. Zamani... Læs mere
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi... Læs mere
Habari mpya katika kesi hii inamfanya Roland kuangalia tena mauaji ya mlinzi yule wa jela. Kwa sasa ana uhakika kuwa anamfahamu Uwe Finch na anaamua kumfahamisha... Læs mere
"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye... Læs mere
Nilipata ujumbe mfupi. Nisingeuangalia hata kidogo. Nikashika simu yangu na kuzima sauti mapema ili isitatize mkutano. Lakini, singeweza kujizuia kuangalia ujumbe:... Læs mere
Roland Benito, ambaye anakifanyia kazi Kitengo Huru cha Malalamiko kuhusu Polisi, ametumwa pamoja na mfanya kazi mwenza kwenda kuwahoji maafisa wawili wa polisi ambao... Læs mere
Anne Larsen anamuonyesha Roland picha ya Uwe Finch, na Roland kwa hakika haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayemfanana, anatambua baadhi ya sehemu za uso... Læs mere
"Sasa ninapata nyege mara nyingi kama nina muda, mara nyingi hamu inaponijia, na ninaweza kutafuta fedha. Sina haja ya kufikiri. Mwalimu wangu anajua nini... Læs mere
"Uko tayari?" Uliniuliza kwa sauti laini zaidi, kwa tabasamu ambayo iliniwezesha kumtambua mpenzi wangu. Ukipinduka, ukaruhusu mikono yako kugusa... Læs mere