Inger Gammelgaard Madsen (f. 1960) er en dansk forfatter. Hun debuterede
med kriminalromanen"Dukkebarnet" i 2008. Sidenhen er fulgt flere bøger i samme genre. Her
kan blandt andet nævnes "Drabefter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og
bøddel" (2015), “Brændende skyld” (2016) og"Sanitøren" (2017).
Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa... Læs mere
Anne Larsen anamuonyesha Roland picha ya Uwe Finch, na Roland kwa hakika haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayemfanana, anatambua baadhi ya sehemu za uso... Læs mere
Roland Benito, ambaye anakifanyia kazi Kitengo Huru cha Malalamiko kuhusu Polisi, ametumwa pamoja na mfanya kazi mwenza kwenda kuwahoji maafisa wawili wa polisi ambao... Læs mere
Habari mpya katika kesi hii inamfanya Roland kuangalia tena mauaji ya mlinzi yule wa jela. Kwa sasa ana uhakika kuwa anamfahamu Uwe Finch na anaamua kumfahamisha... Læs mere
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi... Læs mere
Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na... Læs mere
Bertram na marafiki zake watatu wameanzisha genge ndogo la majambazi linaloitwa The Hawks. Anaishi peke yake na mama yake, anayefanya kazi kama mhudumu hotelini. Hamkumbuki baba yake sana,... Læs mere
Johan Boje, afisa wa jeshi la polisi la Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland, anauawa na dereva anayemgonga na kisha kutoroka mbele ya nyumba yake, usiku mmoja wa... Læs mere
Tume Huru ya Malalamishi ya Polisi haijui wapi pa kuanzia. Lakini baada ya kuwahoji bibiye Johan Boje na wenzake, Roland Benito amesadiki kuwa askari huo hakuwa bwana... Læs mere
Liv Løkke ana majinamizi, baada ya moto ule na maisha ya awali kuletwa kwa ulimwengu wake wa sasa. Anne Larsen anawasiliana naye. Mwanahabari huyo amemtembelea kakake,... Læs mere
Johan Boje, msaidizi wa polisi wa Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland anafariki baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi akiwa nje ya nyumbani kwake usiku... Læs mere
Baada ya kufanya kazi katika kipindi cha televisheni kuhusu maonyesho ya sanaa yatakayoanza mjini Rhanders, Anne Larsen anaamua kumtembelea Liv Løkke na kakake.... Læs mere