Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi

(Ebog, epub, Swahili)
Forfatter: - Olrik

Forlag: Lust
PRIS
12,- kr
Levering: Straks (Leveres på e-mail)

Når du handler på WilliamDam.dk, betaler du den pris du ser.

  • Ingen gebyrer
  • Ingen abonnementer
  • Ingen bindingsperioder

Beskrivelse

"Jenny anaamua japo kwa shingo upande kuiza nyumba yake yenye muundo wa mashua ili aweze kufadhili utafiti wa mradi wake wa kianthropolojia nchini Malaysia. Kwa mara ya kwanza hakuna wanunuzi wanoonyesha nia ya kutaka kununua, lakini siku moja akiwa amesimama nje, akiipaka rangi mashua, mwanamme aliyevalia kitanashati anakuja kuiona mashua ile. Lakini si mashua pekee ambayo anaitamani... Anaonekana kuvutiwa sana, na Jenny naye anagundua kuwa amevutiwa sana na mwili wake kuliko pesa zake..."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Olrik ni mwandishi wa hadithi za ashiki ambaye ameandika hadithi kadhaa za ashiki. Hadithi nyingine zilizoandikwa na mwandishi huyu ni Daktari Mwenye Mbinu Chafu, Majira ya Kiangazi ya Uhispania, Almasi nyekundu, Warembo na Mazimwi na Mchezo na Bwana X

Læsernes anmeldelser (0)

Alle detaljer

Forlag Lust
Forfatter - Olrik
Type Ebog
Format epub
Sprog Swahili
Udgivelsesdato 11-09-2019
Udgiver LUST
Oversætter - Lust
Sideantal 15 Sider
Filtype epub
Filversion 2.0
Filformat Reflowable
Filstørrelse 73 KB
Kopibeskyttelse DigitalVandmaerkning
Datamining Ikke tilladt
ISBN-13 / EAN-13 9788726216585